Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 4
Location: KIMARA STOP OVER
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: Dakika 12 Kwa Kutembea Tu 🚶
PRICE: 300,000 × 6
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fenced &Parking Yakutosha 🚘



















