Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Stop Over, 1.2km Kutoka Morogoro Main Road, Boda Boda 1000 Barabara ni ya Zege.
#SIFAZAKE
Hii ina Chumba Kimoja Master, Sebule & Jiko
Umeme Luku yake & Maji yanaflow ndani
Iko ndani ya fensi na Parking Ipo
Kodi Tsh 250,000/=ร6( Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐