Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #MPYAA #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Korogwe, Dar es Salaam
๐Dakika 15-17 Kutembea Toka Morogoro Main Road, Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
๐นChumba kimoja master
๐นSebule
๐นJiko
๐นPublic Toilet
๐นUmeme Luku yake & maji yanaflow ndani
๐นFull Air Conditioner & Heaters
๐นFull Electric Fence & Car Parking.
๐Hii Inakuwa Tayari Kuhamia Tar 01/10/2024 kuiona na Kulipia Ni Ruksa Wahi
โฆ๏ธKodi Tsh 350,000/=ร6(Miezi Sita)
โฆ๏ธMalipo ya Dalali Tsh 350,000/=
โฆ๏ธService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐