Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Kimara Korogwe
🕑 Umbali wa takribani 1 km kutoka kituo cha mwendo kasi
👉 Kutembea: 12–15 dakika | Boda boda: 1,000/=tu hadi hapo.
#SIFAZAKE
🔹 Chumba Kimoja Master
🔹 Sebule
🔹 Jiko
🔹 Umeme LUKU yake, maji yanaflow ndani
🔹 Fence haipo, lakini kuna Car Parking kubwa
📌 Inakuwa wazi kuhamia 06/10/2025
✔ Kuona na kufanya malipo inaruhusiwa sasa hivi
#GHARAMA
🔶 Kodi: Tsh 250,000/= × 6 miezi
🔶 Malipo ya Dalali: Tsh 250,000/=
🔶 Service Charge: Tsh 15,000/=
---
#Piga_simu👇
#.&Whatsapp📞
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊
0713661530_0783661530