Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐ Eneo: Kimara Bucha
๐ Umbali: Dakika 6 tu kwa kutembea kutoka stand ya mwendo kasi
๐ #SIFAZAKE
๐น Chumba kimoja kizuri
๐น Sebule safi na ya kisasa
๐น Choo cha ndani, kisafi
๐น Umeme LUKU yake binafsi
๐น Maji yanapatikana muda wote (yanaflow ndani)
๐น Fenced compound yenye parking kubwa ya gari
๐ฐ #GHARAMA
๐ถ Kodi: Tsh 240,000/= ร miezi 6
๐ถ Malipo ya dalali: Tsh 240,000/=
๐ถ Service charge: Tsh 15,000/=
#0625606710๐ wahiii