Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1,Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 250,000 × 6
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Ipo Kwenye Fence
✔️Parking Space Available 🚘
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
2 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp