Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Korogwe, Dar es Salaam
๐1.5Km kutoka Morogoro main road, Bajaji 500 ukishuka Dakika 4 Upo ndani.
#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja Master
๐นSebule
๐นUmeme Inajitegemea
๐นMaji yanaflow ndani
๐นHaiko kwenye fensi, ila usalama ni mkubwa
โฆ๏ธKodi Tsh 150,000/=ร6(Miezi Sita)
โฆ๏ธMalipo ya Dalali Tsh 150,000/=
โฆ๏ธService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐