Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Location: KIMARA BUCHA
Distance: Dakika 4 Kutoka Morogoro Road 🚶
PRICE: 200,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Umeme SUB-METER Yako
✍️MAJI Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fenced &Parking Kubwa 🚘
✍️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp