Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) KIMARA MWISHO
Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 5 Kwenye Fence
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️PUBLIC TOILET NZURI IPO Nje 🚻
✔️INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
✔️MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️PARKNG SPACE KUBWA SANA 🚘
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala,TAX 700
KODI 250,000 × 6
𝗔𝗡𝗚𝗔𝗟𝗜𝗭𝗢
KODI NI 250,000 × 6 + PAMOJA NA LAKI (200,000) KAMA PESA YA TAHADHALI YA KULINDA NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp