Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MAKONGO JUU
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Umbali wa Kutembea Mguu Dakika 8 - 10 Kutoka Kituoni
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom Kikubwa
• Jiko Kubwa
• Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo ndani ya Fensi Mazingira Mazuri Umeme LUKU inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 350,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI