Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
✔️KITCHEN With CABINETS
✔️CHOO KIZURI CHA NDANI
✔️UMEME LUKU YAKO
✔️MAJI METER YAKO
✔️YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
✔️RESERVE TANK
#AIR CONDITION SEBULENI (A/C)
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
KODI 270,000 × 6
(Plus Na Deposit Ya 150,000/= Inaambatana Na Kodi)
NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UMBALI WA DAKIKA 7 TU KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA INA FENCE YA WAYA ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA NA PIA KUNA MLINZI AMBAYE ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
#ANGALIZO ITAKUWA WAZI 11/09/2025
ILA KUONA NA KULIPIA RUKSA KABISA BOSS 💰✍️
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp