Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


#Repost
Nyumba nzuri yakupangisha
#Location: ubungo
Umbali dakika 4
SIFA ZAKE
-chumba kimoja master
- dipoziti laki
_maji na usafi kwa mwezi 15000x6
90000
Umeme wawili inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 170000 Malipo Miezi Sita
Service Charge 20,000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
0712500602


















