Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 250k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO MAKOKA SHULE
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilomita 2.5 Kutoka Main Road Usafiri Bajaj 500
Unaweza Ukipitia Pia Korogwe Usafiri Bajaj 500
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE KUBWA
• CHUMBA KIMOJA cha Kulala Kikubwa
• JIKO KUBWA
• CHOO KIZURI NDANI
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo.
Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 Tsh. 250,000/- Malipo Miezi 6
MAJI DAWASA NI FREE YAPO MUDA WOTE
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp