Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: Dakika 10-12 Kutoka Morogoro Road
Kwa Kutembea Tu 🚶🚶Usafiri 24Hours Bajaji 500
Price: 300,000 × 6
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Sana
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
✔️LUKU Independent
✔️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Fenced
✔️Parking Space Available 🚘
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp