Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: Dakika 10-15 Kwa Kutembea Tu 🚶
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000 Mpaka Mlangoni
PRICE: 200,000 × 6
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Public Toilet Outside 🚻
✍️Umeme SUB-METER Yako
✍️Maji Meter Yako
✍️Yanaflow Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fence Ipo NUSU
✍️Usalama Kama LUGALO 👍
👍Parking Space Available 🚘
✍️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















