Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam


Aina
Apartment
Vyumba
2
Sifa
Maelezo
Hii apartment nzuri sana inapangishwa bei 300000 ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule, jiko na public toilet, umeme na maji unajitegemea, parking, fence, reserve water tank, hapa kuna apartment 4 tu ndani ya fence, kutoka kituoni dakika 5 hivi, Location tabata kinyerezi mwisho dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo hii apartment




















