Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tegeta Wazo, Dar Es Salaam



Aina
Apartment
Vyumba
2
Sifa
Maelezo
Apartments zinapangishwa, zipo Tegeta Wazo.
Vyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 450,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
0784234971
Karibuni sana



















