Nyumba (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA FULL FURNISHED MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
----------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Garden safi
Maji yana flow
Luku yako
Full air condition
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------------
Service charge 20,000\/=
Kodi USD 1000 kwa mwezi
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 100O
--------------
CONTACT
π#0714128124______
Dalalisuperstar_tz