Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


🏡APARTMENT MPYA ZA KUPANGISHA–BUNJU 📍
✅ Nyumba 4 ndani ya fensi moja (Gated Compound)
🚶♂️ Umbali: Dakika 3 tu kutoka kituo cha daladala!
1️⃣ CHAGUO LA KWANZA–Tsh250,000/=kwa mwezi
🛏️ Master Bedroom 1
🛋️ Sebule
🍽️ Jikoni
🚻 Choo cha nje
2️⃣ CHAGUO LA PILI – Tsh 350,000/= kwa mwezi
🛏️ Master Bedrooms 2
🛋️ Sebule
🍽️ Jikoni
🚻 Choo cha nje
3️⃣ CHAGUO LA TATU–Tshs.400,000/= kwa mwezi
🛏️ Vyumba vya kulala 2 (1 ni Master)
🛋️ Sebule
🍽️ Jikoni
🚻 Choo cha nje
🔌 Umeme na 💧maji kila mtu anajitegemea
🛠️ Finishing na paving zinakamilika wiki ijayo – wahi mapema!
💰 Malipo: Kodi ya miezi 6
📞 Call/WhatsApp: 0687 800 788