Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


🏡 Nyumba ya Vyumba 2 Inapangishwa –
KIJITONYAMA 🌿
💰 Kodi: 800,000/= kwa mwezi
Malipo miezi minne
🛏️ Vyumba viwili vya kulala
🛋️ Sebule kubwa ya familia
🍳 Jiko zuri la ndani
🚿 Choo na bafu la ndani (public)
💧 Maji yapo muda wote
⚡ Umeme unajitegemea
🚗 Parking inapatikana
📍 Eneo ni tulivu, salama na karibu na huduma zote muhimu
📞 Wasiliana: 0678 512 666 (Mshua Real Estate)