Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT KARI ZA KUPANGA ZIPO KIMARA SUKA
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZIX5X6
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA CHOO NDAN PUBLIC TOILET.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE PARKING KUBWA, GARDEN INATENGENEZWA
UMBALI NI DAKIKA 5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA SUKA
SERVICE CHARGE ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI