Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
KODI 300,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
HAKUNA MASTER
JIKO KUBWA
CHOO CHA FAMILIA CHA NDANI
NA MAFENI KILA CHUMBA
TAILS JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PERVING
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
##0655256419