Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


*STAND ALONE MPYAA" YA AINA YAKE*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
*KODI YAKE NI MSEREREKO KABISA*
PIGA SIMU 0755831740
π₯ *KODI YAKE 150K X6//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA*π
ποΈ *STAND ALONE HII YA BEI NAFUU INA SIFA ZIFUATAZO*
β‘ *VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA*
β‘ *SEBURE SAFI*
β‘ *PUBLIC TOILET OUT SIDE*
β‘ *TILES/ GIPSUM*
β‘ *SLIDE WINDOW*
β‘ *UMEME METER YAKE*
β‘ *MAJI SAFI DAWASA YAPO KWA NJE HAPO.*
β *HAKUNA MASTER*β
β *HAKUNA JIKO*β
ποΈ *NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA BODA TSH 1,000/=*
*KIJUMBA HIKI HAKIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA*ποΈ
ποΈπΉπΏ *KARIBUNI SAANA*π