Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT_FOR_RENT_AT_KIMARA SUKA
๐VYUMBA VIWILI VYA KULALA
๐SEBULE KUBWA
๐KIMOJA MASTER BEDROOM
๐JIKO NZURI LENYE MAKABATI
๐CHOO CHA FAMILIA
๐AIR CONDITION SEBULE NA MASTER [A/C]
๐MAZINGIRA MAZURI SANAA
๐UMEME LUKU YAKO
๐MAJI YANAFLOW NDANI
๐HEATER ZA MAJI YA MOTO
KODI NI 400,000/=ร6
NYUMBA IPO KIMARA SUKA GOLANI UMBALI WA KILOMETA 3 KUTOKA MOROGORO RAOD USAFIRI NI BAJAJI AU BODA
NYUMBA ZIPO NNE NDANI YA FENSI NA MOJA NDIO IPO WAZI
#NDUGU MTEJA ZINGATIA UMBALI PLEASE AND PLEASE
SERVICE CHARGE 15,000
#0785889413๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐๐ฒ๐ฒ