Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINA PANGISHWA MOJA NDOO HIKO WAZI
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Sifa zake :--
#VYUMBA 2 VYA KULALA WASTANI
#SEBULE
# PUBLICK TOILET
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM DILISHA SHATA WAVU
#PAVING BROCKS
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENZI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE NI DK 2
#GARI AINA ZOTE ZINA FIKA
Kodi 400,000/= X6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.