Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT'S ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM.2 KUTOKA BARABARA YA LAMI .
☆VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
☆VYOTE MASTERS BEDROOM 
☆SEBLE KUBWAAA SANA MNO 
☆FULL MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
☆NA KISEHEMU CHAKO CHA KUPIKIA 
☆PUBLIC TOILET IPO NJEE YA WAGENI 
☆MAJI YANA FLOW CHOONI 
☆UMEME LUKU YAKO MWENYEWE 
☆MAJI MITERS YAKO MWENYEWE 
☆TILES SAFI 
☆GYPSUM BOARD 
☆NYUMBA IPO NDANI YA FENCE 
☆PARKING SPACE KUBWA AKUNA 
☆MAZINGILA MAZURI SANA MNO 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI 200,000/=X"5 "
CONTACT'S US:07
WHATSAPP :07




















