Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA INAPANGISHWA
Kodi 300,000/= X6
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE USAFIRI WA UHAKIKA UKISHUKA DK3 KWA MIGUU
Service charge 15,000/=
SIFA ZAKE
____________
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.