Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1 KUTOKA LAMI 
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA SANA 
JIKO KUBWA LA KISASA/STOO
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES 
GYPSUM 
NDANI YA FENCE
PAVING BLOCK 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000 
KODI 300,000/=×6
NB:ITAKUWA WAZI MWISHO WA MWENZI HUU
#0625606710



















