Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya vyumba viwilli (300,000) #KIMARA_MWISHO
=======
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
=======
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA CHOO NDAN PUBLIC TOILET
========
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
======
NDANI YA FENCE PARKING KUBWA, GARDEN
===
UMBALI NI KM 2.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI KIMARA MWISHO USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI TAXS NOA DALADALA 500
=====
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300