Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-โโboda boda 1000
Vyumba viwili vya kulala vyote master
Sebulee kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
๐ฐKodi 300,000/=ร6
โโโ
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
#0625606710