Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KAMA UNA MAMBO MENGI SANA NJOO UKAE HAPA WAPANGAJI WA WILI TUUU
NDAN YA FENSI PARKING IPO ..
NYUMBA KUBWA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI NJIA LAMI MPK KWENY NYUMBA.
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA
_SBULE KUBWA
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-HAKUNA JIKO
-PUBLIC TOILET NJE
-UMEME WAKO
-MAJI YAKO
-FULL TANK LA MAJI
-LAMI TO LAMI NJIA MKEKA
KODI NI 250,000 ILIPWE MIEZI 6
NYUMBA IPO WAZI UKIONA POST HII PIGA SIMU
#0785889413
#0754589413