Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA
@
Inapangishwa
@
Bei 800.000 kwa mwez
@
Mahali kijintonyama
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Umeme na maji mita yako
@
Parkingi ipo
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687