Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







FOR SALE 360,000,000/= ๐ฅJUMBA LA KISASA KUBWA
BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MILIONI MIA TATU NA ELFU SITINI (360,000,000/= ) MILION
๐ฅ NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
#STORE ZIPO 2
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
NYUMBA HII INA HATI MILIKI
UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000
BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 360M MAONGEZI YAPO KIDOGO
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
PIGA SIMU NDUGU: 0672 673363 / 0763 219307