Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Segerea, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Segerea Mwisho. 
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Vyumba vina makabati 
- Sebule
- Jiko la kisasa lenye makabati 
- Store
- Full A/C
- Public toilet 
- Umeme unajitegemea 
- Maji unajitegemea 
- Water reserve tank 
- Paving 
- Parking 
- Fence
Kodi 650,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja. 
Muhitaji piga 0688 412 890.


















