Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


🏠 Apartment Mpya za Kupangisha – Tegeta Wazo
Zimekamilika na zipo tayari kuhamia!
🛏 Room 2 (Hakuna master)
🛋 Sebule nzuri
🍽 Jiko
🚽 Public Toilet
💡 Luku yako
🚿 Maji yapo
💰 Kodi: 300,000 TZS kwa mwezi
📆 Malipo ya kuanzia: miezi 4
📍 Zipo Tegeta Wazo
📞 Wasiliana:
#0689138795whatsapp
#0758998074👈