Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA
KUINGIA TAR 1.4.2.2026 KUONA NA KULIPIYA LUKSA.
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Paving block zina wekwa
Parking space kubwa sana
-----
Service charge 20,000
Kodi 500,000x6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
------
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π
06595O7709




















