Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA VIWILI INAUZWA – UBUNGO KIBO
Nyumba ya kisasa yenye:
Vyumba viwili (kimoja ni self-contained)
Sebule
Jiko
Choo cha nje (public toilet)
Ipo karibu kabisa na Kanisa la KKKT Ubungo Kibo.
Kutoka barabara kuu ya Morogoro hadi kwenye nyumba ni elfu moja tu kwa bodaboda!
Ni nyumba nzuri sana, imekamilika kwa asilimia kubwa – unachohitaji ni kumalizia kidogo tu na kuhamia. Hakika ni nyumba inayokufaa kwa makazi ya kudumu au uwekezaji.
Bei ni milioni 28 tu.
Usikose nafasi hii ya kipekee!
Wasiliana nasi kwa kutembelea au kupiga/WhatsApp:
0742 892 195
Karibu uje kuikagua mwenyewe
#Kiwanjambezibeach#kiwanja#nyumba#nyumbabeinafuu#nyumbanzuri#nyumbayqngu#kuuzanyumba