Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
๐งLocation :: GOBA CENTER
๐งBei :: 400,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba viwili Kimoja Masta
๐Sebule kubwa
๐Choo cha Public
๐Jiko zuri lenye makabati
๐Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0689193185
Call /Whatsapp



















