Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
š§Location :: GOBA CENTER
š§Bei :: 700,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
šVyumba viwili (kimoja Masta)
šAc sebleni na Kwenye Master
šSebule
šChoo cha Public
šJiko lenye makabati
šFence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782 724 115
Call /Whatsapp