Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
#KIBAMBA_MLOGANZILA
๐๏ธ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO:
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI SAFI DAWASA
#HAKUNA MASTER
#LUKU INAJITEGEMEA
BEI SH 200,000/= X5,6 NA KUENDELEA
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIBAMBA CHAMA NJIA YA MLOGANZILA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA KIBAHA
NA ZIPO TATU KWENYE FANCE MOJA
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
KUTOKEA MLOGANZILA ROAD
DKK3 UPO NDANI
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
0719969102