Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000 × 4) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘 𝗞𝗜𝗟𝗨𝗡𝗚𝗨𝗟𝗘
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500
.
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE YA KWAKO MWENYEWE
.
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE HAKUNA GARI INAFIKA MPKA GETIN
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654202710
0787205300