Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ #APARTMENT INAPANGISHWA
๐ Kimara Korogwe
๐ Umbali wa 1km kutoka Mwendokasi, usafiri wa bodaboda Tsh 1,000 tu au kwa mguu dakika 15
๐กSIFA ZA NYUMBA
๐น Vyumba viwili vya kulala
๐น Sebule kubwa
๐น Jiko nzuri sana
๐น Choo cha public toile ndani
๐น Umeme & Maji (inajitegemea)
๐น Fence & Parking kubwa ya magari
๐ Hii nyumba ipo tayari kwa mpangaji naifaulisha
๐ธ Kodi: Tsh 300,000/= ร 6 (Miezi 6)
๐ธ Malipo ya Dalali: Tsh 300,000/=
๐ธ Service Charge: Tsh 15,000/=
๐ Piga simu au tuma WhatsApp
Karibu Sana Mteja ๐
##0655256419



















