Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT CLASSIC FOR RENT
LOCATION: KIMARA TEMBONI
DISTANCE: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 500
KODI 300,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✔️UMEME LUKU INAJITEGEMEA
✔️MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️FENCED
✔️PARKING KUBWA SANA 🚘
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
📌ITAKUWA WAZI 30/05/2025
KUONA NYUMBA Na MALIPO NI RUKSA BOSS 💰✍️
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp