Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA#420k
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
====
Bei:420,000 Kwa mwezi × 6
====
Umbali Dakika 8 Kwa mguu shortcut, Kwa njia ya gari dakika 15
===
Apartments zipo 2 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
====
Ndani ya fence parking nikubwa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===PIGA CM. 0764575774