Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: Kimara Mwisho
Umbali wa Kilomita 2 kutoka Main Road, Usafiri BAJAJ Daladala 1000 na pikipiki
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Dining
• Vyumba Viwili na Kimoja Wapo ni Master
• Jiko Zuri Kubwa
• Public Toilet
• Sebuleni kubwa na mafeni juu
Apartment Zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo.
Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
Kupelekwa site ni Elfu 15
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 350,000/- MALIPO MIEZI 6
Contact
Sms call watsup
0712500602 wtsp
0755336565