Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO LIPO NJE
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI ILA UWEZI KULAZA GARI NDUGU MTEJA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA YA CHINI NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGURE UWANJANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0715949085
0782838336