Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANAINAPANGISHWA KIMARA TEMBONI DK 13 KUTEMBEA BODA BUKU
MUUNDO WAKE
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER INA SEBULE INA JIKO KUBWA NA PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI NA PARKING IPO YA KUTOSHA
FULL PAVING BLOCKS
KODI 350,000 × 6
KUONA NYUMBA ELFU 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0713 320 608
0686 33 41 82