Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA MPYAA MPYAA KABISA INAPANGISHWA 300,000X6
LOCATION: KIMARA TEMBONI
KODI 300,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA OPEN KITCHEN
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
NYUMBA ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5 AU BODA 1000
BAJAJI 700
IPO MTAA WA KISHUA SANA
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA
0713661530_0783661530


















