Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 300,000/= X 6
PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 3 TUU
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LA KISASA
#PUBLIC TOILET NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA HAINA FENCE GARI MPAKA MLANGONI
๐ฅINAYOPANGISHWA NI YA KATIKATI NDUGU MTEJA
#BEI NI 300,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA_STOP_OVER KLM 1.2 UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15-20 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747