Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
🇹🇿#APARTMENT INAPANGISHWA
📍Kimara suka
🕝Umbali wa 1.8km Moja Kutoka Mwendokasi, Bajaji 700 boda 1000 tu.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet ndani
🔹Umeme LUKU yake & Maji yanatoka ndani
🔹Fenced Car Parking Kubwa
👉hii Hapa INAPANGISHWA
🔸Kodi Tsh 300,000/=×6(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
🔸Service Charge Tsh 15, 000/=
#Piga_simu👇
0679 997610.&Whatsapp📞
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja 😊